Uislamu kwa nchi |
Uislamu umeanzishwa vyema katika nchi ya leo ijulikanayo kama Madagaska. Kwa karne na karne na leo hadi leo hii Waislamu nchini humo wanawakilisha karibia asilimia 7 ya jumla ya wakazi wote wa nchini humo.[1]
Karibia Waislamu wote wa Madagascar wanafuata dhehebu la Sunni katika mafundisho ya [Imamu]] Shafi, huku kukiwa na idadi ndogo ya wafuasi wa Ahmadiyya ambao walianza kuingia kwenye miaka ya 1980.[2]